Habari za Wizara

Mawasiliano yarejeshwa kwa Wananchi wa Chinangali II na Mlebe

Nteghenjwa Hosseah, Chamwino.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo (kwanza kulia), Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Vumilia Nyamwaga(katikati), Meneja wa TARURA Wilaya ya Chamwino Nelson Maganga wakati wa ziara yake ya kukagua daraja la mlebe na barabara ya Chinangali II – Mlebe- Mnase na Mgunga yenye urefu […]

Elimu

Majina ya Wanafunzi Kidato cha Kwanza 2019 Mikoa ya Tanzania

Mkoa wa Kilimanjaro
http://www.kilimanjaro.go.tz/announcement/wanafunzi-waliochaguliwa-kujiunga-kidato-cha-kwanza-2019-mkoa-wa-kilimanjaro-wasichana
Mkoa wa Katavi
www.katavi.go.tz/advertisement/wanafunzi-waliochaguliwa-kujiunga-na-kidato-cha-kwanza-mkoani-katavi
Mkoa wa Geita
http://www.geita.go.tz/announcement/wanafunzi-waliochaguliwa-kujiunga-na-kidato-cha-kwanza-mwaka-2019-mkoa-wa-geita
Mkoa wa Songwe
http://songwe.go.tz/announcement/wanafunzi-kutoka-mkoani-songwe-waliochaguliwa-kujiunga-kidato-cha-kwanza-shule-za-vipaji
http://songwe.go.tz/announcement/wanafunzi-waliochaguliwa-kujiunga-kidato-cha-kwanza-2019-wilayani-mbozi
http://songwe.go.tz/announcement/wanafunzi-waliochaguliwa-kujiunga-kidato-cha-kwanza-2019-wilayani-ileje
http://songwe.go.tz/announcement/wanafunzi-waliochaguliwa-kujiunga-kidato-cha-kwanza-2019-wilayani-songwe
http://songwe.go.tz/announcement/wanafunzi-waliochaguliwa-kujiunga-kidato-cha-kwanza-2019-halmashauri-ya-tunduma
http://songwe.go.tz/announcement/wanafunzi-waliochaguliwa-kujiunga-kidato-cha-kwanza-2019-halmashauri-ya-momba
Mkoa wa Pwani
http://www.pwani.go.tz/announcement/wanafunzi-waliochaguliwa-kujiunga-na-kidato-cha-kwanza-mwaka-2019-mkoa-wa-pwani
Mkoa wa Arusha
http://www.arusha.go.tz/announcement/wanafunzi-waliochaguliwa-kujiunga-na-kidato-cha-kwanza-2019
Mkoa wa Lindi
http://www.lindi.go.tz/announcement/orodha-ya-wanafunzi-waliochaguliwa-kujiunga-na-kidato-cha-kwanza-mwaka-2019-mkoa-wa-lindi
Mkoa wa Simiyu
http://www.simiyu.go.tz/announcement/wanafunzi-waliochaguliwa-kujiunga-kidato-cha-kwanza-mwaka-2019-simiyu
Mkoa wa Mbeya
http://www.mbeya.go.tz/announcement/wanafunzi-waliochaguliwa-kujiunga-kidato-cha-kwanza-2019-mkoa-wa-mbeya
Mkoa wa Singida
http://www.singida.go.tz/announcement/wanafunzi-waliochaguliwa-kujiunga-na-kidato-cha-kwanza-2019-mkoa-wa-singida
Mkoa wa Ruvuma
http://www.ruvuma.go.tz/announcement/mtihani-wa-darasa-la-saba-2018 na Shule walizopangiwa
Mkoa wa Mtwara
http://www.mtwara.go.tz/announcement/orodha-ya-wanafunzi-waliochaguliwa-kujiunga-na-kidato-cha-kwanza-mwaka-2019
Mkoa wa DSM
http://www.dsm.go.tz/announcement/dar-es-salaam-yashika-nafasi-ya-kwanza-kitaifa-katika-matokeo-ya-darasa-la-saba-2018
 

Afya

Wataalamu wa Mipango wapigwa msasa, Maandalizi ya Bajeti 2019/20

Majid Abdulkarim
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia masuala ya Afya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Dk. Zainabu Chaula amewataka Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa Sehemu ya Mipango na Uratibu sambamba na Maafisa Mipango wote wa Halmashauri nchini kutumia taaluma zao katika kukuza uchumi wa nchi ili kuleta matokeo chanya kwa jamii.
Dk, Chaula ameyasema hayo wakati  wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Maandalizi ya Mipango na Bajeti katika Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa mwaka wa Fedha 2019/20 […]

Habari za Wizara

Dkt. Chaula awapa somo wadau wa afua ya vipimo na tiba ya Malaria

Naibu Katibu Mkuu ,Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR –TAMISEMI), Dkt. Zainabu Chaula akizungumza katika Kikao cha Wadau wa Afua ya Vipimo na Tiba ya Malaria na Wataalamu wa Idaraya Afya OR-TAMISEMI leo Jijini Dodoma.
Na.Majid Abdulkarim
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) anayeshughulikia Afya Dkt. Zainabu Chaula amewataka Wadau […]

Elimu

Waweka Hazina halmashauri Waaswa kuacha ubadhirifu wa miradi

Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Tixon Nzunda akiongea na baadhi ya Viongozi wa halmashahuri ya wilaya Ikungi kuhusu miradi ya maendeleo. Pia alitoa maelekezo ya Serikali kwa halmashauri zote nchini.
Na. Fred Kibano
Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Tixon Nzunda amewaagiza Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini pamoja na Waweka Hazina kuacha kuchepusha fedha za […]