Habari za Wizara

Waziri Mkuu Majaliwa kufungua Mkutano wa Maafisa Ustawi wa Jamii

Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Ustawi wa Jamii Ofisi ya Rais TAMISEMI, Rashid Maftaha.
 
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajia kufungua mkutano wa siku tatu wa maafisa ustawi wa jamii mikoa 26 na halmashauri zote nchini wenye lengo la kujadili utendaji kazi, utoaji huduma za ustawi wa jamii na mifumo ya utendaji kazi.

Akizungumza na habarileo jijini hapa, Mkurugenzi Msaidizi wa […]