Habari za mikoani

Mkurugenzi Kondoa awapa ‘Dozi’ Watendaji

Mkurungezi wa Halmashauri ya Mji wa Kondoa Msoleni Dakawa akisisitiza jambo wakati wa kikao kazi cha wakuu wa Idara na Watendaji wa kata na mitaa
Na: Sekela Mwasubila- Kondoa Mji
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kondoa Msoleni Dakawa amewataka watendaji wa kata na mitaa kuyafanyia kazi maagizo yanayotolewa kutoka halmashauri kwani wananchi wana imani nao katika kuwaletea maendeleo.
Aliyasema hayo wakati akifungua kikao kazi kati […]