Habari za mikoani

Madiwani Sumbawanga wajinoa suala la Mapato, Usafi, Njombe

Waheshimiwa Madiwani na Wataalamu kutoka katika Manispaa ya Sumbawanga wakiwa kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Mji Njombe mara baada ya kuwasili kwa lengo la kujifunza maswala ya usafi wa mazingira na ukusanyaji mapato. (Aliyesimama) ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe Illuminata Mwenda
Hyasinta Kissima- H/W Mji Njombe
Halmashauri ya Mji Njombe imepokea ugeni wa Waheshimiwa Madiwani wakiwa wameambatana na Wataalamu kutoka katika Manispaa ya […]