Habari za Kiuchumi/Kilimo

Serikali Yatoa Wito Kwa Benki ya DCB Kuwainua Wajasiriamali

 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Selemani Jafo (katikati) akiwa na Godfrey Ndalahwa Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kibiashara ya DCB Tanzania na Bi. Rahma Ngassa Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano DCB Dodoma na kushoto ni Joseph Njile Meneja wa Tawi la Benki ya DCB Dodoma. Waziri Jafo ametoa wito kwa Benki hiyo kuwajengea uwezo wa kijasiriamali wateja […]

Habari za Kiuchumi/Kilimo

Makatibu Tawala Mikoa simamieni Matumizi na Manunuzi ya Umma katika Halmashauri

Na Fred Kibano
Serikali imewaagiza Makatibu Tawala wa Mikoa na kusema itaendelea kuimarisha hali ya ukusanyaji wa mapato na kusimamia matumizi sahihi ya fedha za Umma kwenye halmashauri nchini ili kuinua uchumi wa mamlaka husika na kuwaletea wananchi wake maendeleo.
Kauli hiyo ameitoa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga Jijini Dodoma wakati akifungua kikao kazi cha maboresho ya fedha katika halmashauri nchini ambapo amewataka Makatibu Tawala kusimamia ukusanyaji wa mapato ya halmashauri samabamba na matumizi ya fedha za Umma.
“tumewaita […]

Elimu

Serikali Yatenga Bilioni 29.9 Kumalizia Maboma Yote ya Shule   – Mhandisi Nyamhanga


Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga akiongea na watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kamati tendaji za Halmashauri ya wilaya ya Musoma na Halmashauri ya Manispaa Musoma leo. Kushoto kwake ni Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara Emanuel Kisongo na Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Musoma Delicca Miyovella na kushoto ni Katibu Tawala wa wilaya ya […]

Habari za Kiuchumi/Kilimo

Marufuku Halmashauri Kutumia Mapato yake kabla Hayajaingia Katika Mfumo – Mhandisi Nyamhanga

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga akiongea na watumishi wa halmashauri ya Wiaya na Tarime Mji wakati akihitimisha ziara yake wilayani Tarime leo. Kushoto kwake ni Katibu Tawala wa wilaya ya Tarime Bw. John Marwa na Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya Tarime Apoo Tindwa na kulia kwake niMkurugenzi wa Mji Tarime Bw. Elias Ntirulungwa
Na Fred Kibano
Serikali […]

Habari za Kijamii

Mgogoro wa Kyoruba na Kebwehe wamalizika Wilayani Tarime

Na Fred Kibano
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga akiwasihi wananchi wa vijiji vya Kyoruba na Kebwehe wilayani Tarime kuacha mapigano na kuendelea kuishi kwa amani na utulivu. Kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. Charles Kabeho
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga amewasihi wananchi wa vijiji vya Kyoruba na Kebwehe kuacha mapigano kama […]

Habari Kitaifa

Nyamhanga aagiza Kukamilika barabara ya sabasaba – Buswelu mkoani Mwanza

Na Fred Kibano
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga amepongeza ujenzi unaoendelea wa barabara ya sabasaba kupitia Kiseke hadi Buswelu yenye urefu wa kilomita 9.7 na kumtaka mkandarasi SINO Hydro Ltd wa China kumaliza kazi kwa wakati.
Mhandisi Nyamhanga amesema kuwa barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 9.7 ina umuhimu mkubwa itafungua kwa kiasi kikubwa Manispaa ya Ilemela, Manispaa ya Nyamagana na Jiji la Mwanza na kuondoa adha ya usafiri kwa wananchi.
Aidha, Nyamhanga amesema kuwa Ofisi ya Rais TAMISEMI […]

Elimu

Serikali Yaagiza Maafisa Elimu Mikoa na Wilaya Kusimamia Taaluma

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga akiongea na wanafunzi wa shule ya msingi Isenga D (hawapo pichani) iliyopo Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza  na kutoa maagizo ya Serikali alipofanya ziara shuleni hapo  jana. Kushoto kwake ni Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Warioba Sanya na Afisa Elimu Mkoa wa Mwanza Michael Ligola