Elimu

Wahitimu kidato cha Nne 2018 ruksa kubadilisha Combination

Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo akizungumza na waandishi wa habari mapema leo Jijini Dodoma
Serikali imetoa fursa kwa wanafunzi waliofaulu kidato cha nne mwaka 2018 na wanaotegemea kujiunga na kidato cha tano pamoja na vyuo kwa mwaka 2019 kubadilisha Tahsusi(Combination).
Akitoa taarifa kwa vyombo vya […]

Habari za Wizara

Jafo- Nimeridhishwa na Mradi wa Utunzaji Mazingira

Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI, Mhe. Seleman Jafo akisalimiana na Balozi wa Switzerland nchini Mhe.Florence Tinguely Mattli wakati Balozi huyo alipozulu Ofisi hiyo na kuzungumza na ujumbe wa Ofisi hiyo kuhusua suala la Utunzaji wa mazingira na mradi ambao umeanza kutekelezwa katika Vijiji 30 vya Mkoa wa Morogoro
Na. Atley Kuni-Dodoma
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Seleman Jafo, […]

Habari za Wizara

Timu za uendeshaji wa Hudama za afya Mkoa na Wilaya zatakiwa kuwa wabunifu

Naibu Katibu Mkuu Afya, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Dkt.Dorothy Gwajima akiwaonyesha moja ya taarifa ya utekelezaji majukumu kwa Timu za huduma za afya Mkoa (RHMT) na Wilaya(CHMT),(hawapo pichani) katika kikao cha Mrejesho wa Utekelezaji wa yatokanayo na ziara za usimamizi shirikishi za utendaji kwa watoa huduma za afya katika Halmashauri ya Jiji […]

Habari za Wizara

Simamieni nidhamu mashuleni kuleta mabadiliko

 
Naibu Katibu Mkuu Elimu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Tixson Nzuda akizungumza na Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi (hawapo pichani) kwenye kikao kazi cha kujadili muelekeo wa masuala mbalimbali ya maendeleo kilichofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.
Na. Angela Msimbira OR-TAMISEMI
Naibu Katibu Mkuu  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na […]

Habari za Wizara

Wananchi watakiwa kushiriki miradi ya Maendeleo

Naibu Katibu Mkuu –Afya, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Dkt. Dorothy Gwajima akikagua ramani ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Chamwino wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua utendaji kazi wa vituo vya afya vya Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino leo Jijini Dodoma.
Na Majid Abdulkarim.
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, katika […]

Habari za Wizara

Dkt. Gwajima ataka mabadiliko ya kiutendaji kwa watoa huduma za afya nchini

Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia afya kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Dkt. Dorothy Gwajima akikagua mafaili ya wagonjwa wakati akiwa kwenye ziara ya kuangalia utendaji kazi wa vituo vya afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino leo Jijini Dodoma.
Na. Angela Msimbira   OR-TAMISEMI
Naibu Katibu Mkuu  anayeshughulikia Afya kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa […]

Habari za mikoani

Ubalozi wa Japan Kujenga Sekondari Keikei Kondoa

 
Na. Sekella Mwasubila- H/Mji Kondoa
Ubalozi wa Japan umeahidi kujenga Shule ya Sekondari ya kata ya Keikei ili kupunguza mrundikano wa wanafunzi katika Shule ya Sekondari ya kata ya Busi inayohudumia wanafunzi wa kata mbili.
Ahadi hiyo ilitolewa na mwakilishi wa ubalozi wa Japan Bwana Takao Kurukawa katika kata ya Keikei alipofika katika eneo lililotengwa  kwaajili ya ujenzi wa sekondari hiyo hivi karibuni.
“Nimekuja kuangalia eneo ambalo litajengwa Shule ya  Sekondari na ubalozi wa Japan baada ya kupokea maombi ya kuomba kujengewa shule […]

mikoani

Sijaridhika na Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya Chamwino – Jafo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo pamoja na uongozi wa mkoa wa Dodoma na Wilaya ya Chamwino akiangalia ukubwa wa zege la msingi kwa kutumia ‘tape’ na unyoofu wa zege la msingi kwa kutumia pima maji huku fundi akiweka vipimo hivyo alipofanya ziara ya kujionea ujenzi wa hospitali ya wilaya.
Na Fred Kibano
Waziri wa […]

mikoani

Serikali Yaigiza TARURA Kujenga Barabara kwa Wakati

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani S. Jafo (Mb) akitoa maelekezo kwa Watendaji wa TARURA nchini kuacha kutengeneza barabara kama bado haijatengewa bajeti ili kuondoa adha kwa wananchi. Kulia kwake ni Dkt. Binilith Mahenge Mkuu wa mkoa wa Dodoma na kushoto ni Mratibu wa TARURA Mkoa wa Dodoma Mhandisi, Lusako Kilebwe
Na Fred Kibano
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa […]