Habari za Wizara

Mabaraza ya Wafanyakazi Yaongeze Tija na Ufanisi Kazini – Kandege

Kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais TAMISEMI na Taasisi zake kimefanyika hivi leo Jijini Dodoma ambao Mhe Kandege Naibu Waziri OR – TAMISEMI ametoa wito wa mabaraza ya wafanyakazi kuwa kiungo muhimu kati ya watumishi na Menejimenti
Na Fred Kibano
Serikali imetoa wito kwa watumishi wa Umma hapa nchini kuyatumia mabaraza ya wafanyakazi ili kuongeza ufanisi, maslahi na tija sehemu za kazi […]