Habari za Wizara

Dodoma lazidi kuwa Jiji la Mfano

Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali Mhe.Selemani Jafo(Mb) amesema Serikali itaendelea kutenga fedha na kuelekeza miradi ya Kimkakati katika Jiji la Dodoma ili Jiji hilo liweze kuwa bora kama yalivyo majiji mengine ya Kimataifa.
Waziri Jafo aliyasema hayo katika hafla ya utiaji saini mkataba wa ushauri katika utafiti na usanifu wa […]

Habari za mikoani

Kafulila Awasimamisha TBA, Ujenzi Nyumba ya Mkuu wa Mkoa, Katibu Tawala

Katibu Tawala Mkoa wa Songwe David Kafulila akizungumza na Kaimu Meneja wa TBA Mkoa wa Songwe Mhandisi Fidelis Cosmas katika eneo la ujenzi wa Nyumba ya Mkuu wa Mkoa na Katibu Tawala Mkoa, Kafulila amevunja Mkataba na TBA wa ujenzi wa Nyumba hizo kutokana na kutoridhishwa na kasi ya ujenzi huo.
 
Na Grace Gwama-Songwe RS
Katibu Tawala  Mkoa wa Songwe  David Kafulila amesitisha Mkataba wa ujenzi wa […]