Habari za Wizara

Serikali yahaidi ununuzi wa Ultra Sound kwenye vituo vya afya nchini.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Josephat Senkamba Kandege akijibu Maswali leo Bungeni Jijini Dodoma.
Na. Angela Msimbira BUNGE -DODOMA
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Josephat Senkamba Kandege amesema Serikali imejiwekea mikakati wa kuhakikisha vituo vyote vya afya vilivyojengwa nchini vinakuwa na wataalam, vifaa vya kutosha […]