Habari za Wizara

Ajira Mpya TEHAMA Wapigwa Msasa

Na. Nteghenjwa Hosseah-OR TAMISEMI, Dodoma
Watumishi wapya wapatao 70 wa kada ya TEHAMA walioajiriwa Mwezi Februari, 2019 na kupangiwa OR-TAMISEMI Makao Makuu, Sekretariet za Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa, Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) na Wakala wa Mabasi yaendayo Kasi (DART) wanaendelea kupatiwa mafunzo ya kuwajengea uwezo kuhusu mifumo ya TEHAMA inayosimamiwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI mjini Dodoma. Shabaha ikiwa ni kuwafanya kuijua mifumo iliyopo lakini pia kuihudumia mifumo hiyo.
Akizungumza wakati wa mafunzo Msimamizi wa mafunzo hayo […]

Habari za Wizara

Wauguzi wapongezwa, watakiwa kujipnaga kutoa huduma bora zaidi

Naibu Katibu Mkuu Afya, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt, Dorothy Gwajima akipokelewa na wauguzi wakati akiwasili katika Hospitali ya Wilaya ya Iramba Mkoani Singida leo katika Maadhimisho ya sherehe za wauguzi nchini zilizofanyika Kiwilaya katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, Mkoani Singida.
Na Angela Msimbira SINGIDA
Serikali imewapongeza wauguzi wote nchini na kuwataka kutoa huduma […]