Habari za Wizara

Dkt. Gwajima akerwa na kasi ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Ilongero Singida

 Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia afya, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Dorothy Gwajima akisikiliza maelezo kutoka kwa viongozi wa Mkoa wa Singida kuhusu ujenzi wa Hospitali ya Wilaya Ilongero, Mkoani Singida.
Na. Angela Msimbira SINGIDA
Naibu Katibu Mkuu Afya kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Dorothy Gwajima amesikitishwa […]