Habari za Wizara

Dodoma lazidi kuwa Jiji la Mfano

Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali Mhe.Selemani Jafo(Mb) amesema Serikali itaendelea kutenga fedha na kuelekeza miradi ya Kimkakati katika Jiji la Dodoma ili Jiji hilo liweze kuwa bora kama yalivyo majiji mengine ya Kimataifa.
Waziri Jafo aliyasema hayo katika hafla ya utiaji saini mkataba wa ushauri katika utafiti na usanifu wa […]

Habari za mikoani

Kafulila Awasimamisha TBA, Ujenzi Nyumba ya Mkuu wa Mkoa, Katibu Tawala

Katibu Tawala Mkoa wa Songwe David Kafulila akizungumza na Kaimu Meneja wa TBA Mkoa wa Songwe Mhandisi Fidelis Cosmas katika eneo la ujenzi wa Nyumba ya Mkuu wa Mkoa na Katibu Tawala Mkoa, Kafulila amevunja Mkataba na TBA wa ujenzi wa Nyumba hizo kutokana na kutoridhishwa na kasi ya ujenzi huo.
 
Na Grace Gwama-Songwe RS
Katibu Tawala  Mkoa wa Songwe  David Kafulila amesitisha Mkataba wa ujenzi wa […]

Habari za Kiuchumi/Kilimo

Serikali Yakabidhi Mashine za Kutengeneza Vyeti vya Walipa Kodi

 
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga akimkabidhi Kamishna wa TRA Bw. Charles Kichere sehemu ya mashine 13 za  kutengeneza vyeti vya walipa kodi (Taxpayers Mobile Kits) zenye thamani ya shilingi milioni 167,553,376.00 zitakazotumiwa na Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania kutoa huduma kwenye vituo vya kutolea huduma za Biashara na Uwekezaji katika Halmashauri zote za Mikoa ya […]

Habari za mikoani

Simiyu Kupamba Siku ya Wauguzi Duniani Kitaifa 2019

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka(katikati) akizungumza na waandishi wa habari ( hawapo pichani) juu ya Maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani ambayo Kitaifa yatakayofanyika kesho Mei 05, 2019 Mkoani Simiyu katika Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi
 Na Stella Kalinga, Simiyu
Maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani Kitaifa mwaka 2019 yanatarajiwa kufanyika  kesho katika Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi […]

Habari za Wizara

TAMISEMI yaridhishwa na miradi Jiji la Arusha

Mhandisi wa ujenzi Halmashauri ya Jiji la Arusha, Bw.August Mbuya (katikati) akiongoza timu ya wataalamu kutoka Ofisi ya Rais ,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inayohusika na ufatialiaji na tathmini kukagua mradi wa barabara ya Sombetini Ngusero ambayo imejengwa kupitia Mradi wa Uboreshaji Miji (TSCP).
Na. Angela Msimbira OR-TAMISEMI Arusha
Timu ya wataalamu kutoka Ofisi ya Rais, […]