Habari za Wizara

Kaaya awahimiza wananchi kutumia siku tatu kikamilifu kujiandikisha

Katibu Mkuu Jumuiya ya Serikali za Mitaa (ALAT) Bw. Elirehema Kaaya akijiandikisha kwenye Orodha ya Daftari la Wapiga Kura katika Mtaa wake wa Mlimwa Area D, Jijini Dodoma.
Na. Angela Msimbira OR-TAMISEMI
Watanzania wametakiwa kutumia muda uliobaki wa  siku tatu kwa ajili ya  kujiandikisha katika orodha ya daftari la  wapiga kura ili kuweza kupata haki yao ya msingi ya kikatiba ya […]