Habari za Wizara

Timu ya Mpira wa Pete ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kushiriki ligi ya Muungano Zanzibar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na timu ya mpira wa pete ya TAMISEMI leo mara baada kuiaga timu hiyo ambayo inashiriki michuano ya Ligi ya Muungano Zanzibar 2019 inayotarajiwa kuanza hivi karibuni.
Na. Majid Abdulkarim
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na […]

Habari za Wizara

Mhandisi Nyamhanga: Simamieni Sheria, Kanuni na Miongozo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2019.


Na. Angela Msambira Ofisi ya Rais – TAMISEMI
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhandisi Joseph Nyamhanga amewataka viongozi na wasimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika ngazi za Mikoa, Wilaya na Halmashauri kuhakikisha kuwa wanasimamia kwa karibu Kanuni, Sheria, na Miongozo mbalimbali iliyowekwa ili uchaguzi huo ufanyike katika mazingira […]