Afya

Busokelo wapewa Wiki Mbili kujitathmini juu ya Utendaji wao

Naibu Katibu Mkuu Dkt. Dorothy Gwajima akiongea na Mkuu wa Mkoa waMbeya Chalamila, muda mfupi alipowasili kwaajili yakuongea naye nakumwelezea shabaha ya ziara hiyo mkoani humo.
Na. Atley Kuni, Busokelo-MBEYA.
Serikali imetoa wiki mbili kwa timu ya Afya ya Halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya kutoa maelezo ya kina kwa Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, kama ina uhalali wa kuendelea na majukumu yao […]

Elimu

Kongwa wamkwaza Jafo, Atoa Maagizo Mazito kwa TAKUKURU


Na. Angela Msimbira OR-TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo (Mb) amewaagiza Wakurugenzi kote nchini  wanaotekeleza miradi wa  kulipa kulingana na  matokeo  (EP4R)  kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya Elimu  kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kwa asilimia mia ifikapo Februari, 2020
Ametoa maagizo hayo leo akati alipokuwa katika ziara ya kikazi ya  kukagua miradi inayotekelezwa […]

Habari Kitaifa

Wafungwa 96 Wafaidikaa na Msamaha wa Rais Songwe.

Mapema leo Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela akiwa katika gereza la Mbozi ambapo wafungwa 96 Mkoani Songwe wamepatiwa Msamaha wa Rais wa Jamhuri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli wakati wa maadhimisho ya miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania
Na. Grace Gwama- Songwe RS
Wafungwa 96 Mkoani Songwe wamekuwa miongoni mwa wafungwa Zaidi […]