mikoani

Dkt. Gwajima atumia saa 2:56 kuwakumbusha timu za Afya Singida majukumu yao ya Msingi.

 Naibu Katibu Mkuu Dkt. Dorothy Gwajima akitoa somo kwa timu za Afya za Mkoa wa Singida.

Na. Atley Kuni- SINGIDA.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya
Rais TAMISEMI, anayeshughulikia masuala ya Afya Dkt. Dorothy Gwajima, ametumia
saa 2 na dakika 56 kuwafunda na kuwakumbusha watumishi wa kada ya afya juu ya
majukumu yao ya msingi na kuwahimiza kuyafuata kwa kuyawekea mipango […]

Habari Kitaifa

Mashine mpya za kukusanya mapato zakabidhiwa 7227

Seriakli imezidi kubana mianya ya wiza wa mapato ya ndani katika Mamlaka za Serikali za mitaa kwa kukabidhi mashine za kukusanyia mapato  kwa njia ya kielektroniki 7227 zenye mfumo madhubuti wa kudhibiti wadanganyifu kucheza na mashine hizo.

Zoezi la kukabidhi mashine hizo zenye muonekano unaofanana na utambulisho wa Serikali wakati zinapowashwa na kuzimwa limefanywa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za […]

Afya

Msibomoe Majengo haya- Serikali

Naibu Katibu Mkuu Dkt. Dorothy Gwajima, akizunguka na timu kutoka TAMISEMI kukagua jengo ambalo hapo awali lilitaka kubomolewa kwa kisingizio lipo tofauti na ramani za TAMISEMI.
Na. Atley Kuni, Namtumbo: RUVUMA
Serikali imezitaka Halmashauri ambazo zilipelekewa fedha kwaajili ya ujenzi na upanuzi wa Vituo vya Afya pamoja na Zahanati kuacha mara moja mipango yakubomoa baadhi ya majengo yaliyokuwepo hapo […]