mikoani

Wizara ya Kilimo Kuwatumia Vijana- Serikali

Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga akizungumza na Vijana Zaidi ya 700 waliohudhuria uzinduzi wa Kitaifa wa Kongamano la Vijana katika Kilimo lililofanyika Mkoani Songwe ambapo amewataka Vijana kujikita katika Kilimo kwa ajili ya maendeleo ya taifa

Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga ameyasema hayo mapema leo wakati akizindua Kongamano la Vijana katika Kilimo lililozinduliwa kitaifa Mkoani Songwe na […]

Elimu

DC Makota, Ang’aka, atoa juma moja tu

Wazazi na walezi wa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwaka 2020 na hawajaripoti katika shule walizopangiwa wamepewa wiki moja kuhakikisha wanafunzi hao wanaripoti na kuanza masomo kabla ya kufikishwa katika vyombo vya sheria.

Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe. Sezaria Makota wakati wa kikao cha wadau wa Elimu kwa ajili ya kujadili mafanikio na changamoto za elimu katika Halmashauri kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kondoa Irangi hivi karibuni.

“Wazazi iko shida kwenu mwanafunzi haendi shule na […]

Habari za mikoani

RC- AtumiaVitabu vya Dini, kuwafunda Walimu

Katibu Tawala ampongeza Magufuli kwa kuumwagia Singida bilioni 50 kwenye Elimu

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt Rehema Nchimbi (aliyeshika  kisemeo) akiongoza mkutano wa wadau wa elimu wa mkoa huo, kulia kwake ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida  Dkt. Angelina Lutambi, anayefuata ni Afisa Elimu Mkoa wa Singida Mwalimu Nelasi Aron Mulungu

Na John Mapepele

“Mshike sana huyo elimu msimwache aende zake pia mtafute […]

Habari Kitaifa

GoTHOMIS iliyoboreshwa Imenoga, Halmashauri Jipangeni kuipokea – Serikali

Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI, Dkt. Dorothy Gwajima akizungumza na wataalam wa watengenezaji wa mifumo mjini Morogoro mda mfupi mara baada ya kusikiliza wasilisho la mfumo wa GoTHOMIS iliyo boreshwa. (Picha na OR- TAMISEMI).

Na. Atley Kuni- MOROGORO

Serikali imezitaka Halmashauri zote nchini kujipanga kwa ajili ya maandalizi ya kuupokea mfumo ulioboreshwa wa usimamizi na uendeshaji wa shughuli za afya (Improved Government of […]

mikoani

Afisa Polisi Tunduma hatua stahiki zichukuliwe- RC Songwe

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela akikagua baadhi ya magari ambayo yamekamatwa na Mamlaka ya Mapato Tunduma kutokana na kesi mbalimbali ikiwa ni pamoja na magendo.

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela ameagiza Afisa wa Jeshi la Polisi wa Tunduma aliyekamatwa na gari alilomiliki kwa njia za magendo, achukuliwe hatua za […]

Habari za mikoani

“Mjali mtoto wa kike kwa maendeleo yake na Taifa ”Dkt Nchimbi

                 Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi  (mwenye nguo za kijani ) akiwapatia wanafunzi  wa Shule ya Sekondari Ikungi boksi la  taulo za kike. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ikungi(mwenye suti nyeusi) Edward Mpogolo, kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Ikungi Justice Kijazi

Na John Mapepele – SINGIDA

Mkuu wa Mkoa wa Singida […]