Habari Kitaifa

GoTHOMIS iliyoboreshwa Imenoga, Halmashauri Jipangeni kuipokea – Serikali

Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI, Dkt. Dorothy Gwajima akizungumza na wataalam wa watengenezaji wa mifumo mjini Morogoro mda mfupi mara baada ya kusikiliza wasilisho la mfumo wa GoTHOMIS iliyo boreshwa. (Picha na OR- TAMISEMI).

Na. Atley Kuni- MOROGORO

Serikali imezitaka Halmashauri zote nchini kujipanga kwa ajili ya maandalizi ya kuupokea mfumo ulioboreshwa wa usimamizi na uendeshaji wa shughuli za afya (Improved Government of […]