Elimu

DC Makota, Ang’aka, atoa juma moja tu

Wazazi na walezi wa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwaka 2020 na hawajaripoti katika shule walizopangiwa wamepewa wiki moja kuhakikisha wanafunzi hao wanaripoti na kuanza masomo kabla ya kufikishwa katika vyombo vya sheria.

Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe. Sezaria Makota wakati wa kikao cha wadau wa Elimu kwa ajili ya kujadili mafanikio na changamoto za elimu katika Halmashauri kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kondoa Irangi hivi karibuni.

“Wazazi iko shida kwenu mwanafunzi haendi shule na […]

Habari za mikoani

RC- AtumiaVitabu vya Dini, kuwafunda Walimu

Katibu Tawala ampongeza Magufuli kwa kuumwagia Singida bilioni 50 kwenye Elimu

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt Rehema Nchimbi (aliyeshika  kisemeo) akiongoza mkutano wa wadau wa elimu wa mkoa huo, kulia kwake ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida  Dkt. Angelina Lutambi, anayefuata ni Afisa Elimu Mkoa wa Singida Mwalimu Nelasi Aron Mulungu

Na John Mapepele

“Mshike sana huyo elimu msimwache aende zake pia mtafute […]