Michezo

Afya Bora Huimarisha Utendaji kazi – Waziri Jafo


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Seleman Jafo ameongoza zoezi la kufanya mazoezi kwa watumishi wa wizara hiyo na taasisi zake huku akitoa wito kwa watanzania kuwa na utamaduni wa kufanya mazoezi.
Mazoezi hayo yamelenga kujenga afya kwa Watanzania na kujiondoa katika hatari ya kukumbwa na magonjwa nyemelezi ambapo michezo ya Soka, Riadha, kutembea […]

Habari za mikoani

RC Ruvuma Awakumbuka Wanafunzi wenye Mahitaji Maalum

 
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme (kulia) akikabidhi magodoro kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi Ruhira Songea Peter Manjati wakati wa ziara yake shuleni hapo jana.
Na. Revocatus Kasimba, Mkoani Ruvuma RS.
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametoa msaada wa magodoro ishirini na nne kwa ajili ya kuboresha mazingira ya kuishi wanafunzi wenye ulemavu wa  shule ya […]

Habari za mikoani

Mikakati kuwainua wananwake Iringa


 
Na. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, IRINGA
Serikali imeweka mikakati ya kuondoa pengo linalosababisha wanawake kuachwa nyuma katika shughuli za uzalishaji mali na kuwawezesha kuwa sehemu ya mchakato wa maendeleo.
Kauli hiyo ilitolewa na mkuu wa mkoa wa Iringa, Amina Masenza alipokuwa akifungua kongamano la kuibua fursa za kiuchumi kwa wanawake wa mkoa wa Iringa lililofanyika katika ukumbi wa Highland […]

Habari za mikoani

RC Simiyu Wasaidieni Vijana Kufikiri Michezo ni Ajira na Biashara

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Somanda B wakitoa burudani ya ngoma ya asili ya kabila la Wasukuma katika Bonanza la Michezo lililofanyika katika viwanja vya shule hiyo Machi 06, 2018 Mjini Bariadi.
  
Na Stella Kalinga, Simiyu
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka amewataka Maafisa Michezo na Walimu wa Michezo mkoani humo kuwasaidia Vijana wa Kitanzania kutoka kwenye […]