Habari za Wizara

Dodoma lazidi kuwa Jiji la Mfano

Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali Mhe.Selemani Jafo(Mb) amesema Serikali itaendelea kutenga fedha na kuelekeza miradi ya Kimkakati katika Jiji la Dodoma ili Jiji hilo liweze kuwa bora kama yalivyo majiji mengine ya Kimataifa.
Waziri Jafo aliyasema hayo katika hafla ya utiaji saini mkataba wa ushauri katika utafiti na usanifu wa […]

Habari za Wizara

Halmashauri Zakusanya Bil 449 Mapato Ya Ndani

Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa akitoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu ukusanyaji wa mapato kwatika Halmashauri kwa kipindi cha robo ya Tatu
IKIWA imepita robo tatu ya mwaka wa fedha 2018/2019, halmashauri zote zimekusanya Sh bilioni 449.8 ambayo ni asilimia 61 kati ya Sh bilioni 735.6 kutoka kwenye […]

Habari za Wizara

Halmashauri zisizotoa 10% kwa Vikundi Kukiona

 Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo (Mb) akizungumza na waandishi wa habari

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani S. Jafo(Mb) amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri zote Nchini kuhakikisha wanatoa mikopo kwa vikundi vya Vijana, Wanawake na Walemavu kutoka katika […]

Elimu

Wahitimu kidato cha Nne 2018 ruksa kubadilisha Combination

Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo akizungumza na waandishi wa habari mapema leo Jijini Dodoma
Serikali imetoa fursa kwa wanafunzi waliofaulu kidato cha nne mwaka 2018 na wanaotegemea kujiunga na kidato cha tano pamoja na vyuo kwa mwaka 2019 kubadilisha Tahsusi(Combination).
Akitoa taarifa kwa vyombo vya […]