Habari za Wizara

Waziri Mkuu Majaliwa kufungua Mkutano wa Maafisa Ustawi wa Jamii

Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Ustawi wa Jamii Ofisi ya Rais TAMISEMI, Rashid Maftaha.
 
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajia kufungua mkutano wa siku tatu wa maafisa ustawi wa jamii mikoa 26 na halmashauri zote nchini wenye lengo la kujadili utendaji kazi, utoaji huduma za ustawi wa jamii na mifumo ya utendaji kazi.

Akizungumza na habarileo jijini hapa, Mkurugenzi Msaidizi wa […]

Habari za Wizara

Watumishi 13  Ulanga hatiani ubadhirifu wa Bil 2.9

                             Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI

OFISI ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (Tamisemi) imebaini matumizi mabaya ya fedha za serikali Sh. bilioni 2.98 katika halmashauri ya Ulanga mkoani Morogoro na kuagiza wakuu wa idara wote waliohusika wavuliwe nyadhifa zao huku watumishi wengine waondolewe majukumu […]

Habari za Wizara

Mawasiliano yarejeshwa kwa Wananchi wa Chinangali II na Mlebe

Nteghenjwa Hosseah, Chamwino.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo (kwanza kulia), Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Vumilia Nyamwaga(katikati), Meneja wa TARURA Wilaya ya Chamwino Nelson Maganga wakati wa ziara yake ya kukagua daraja la mlebe na barabara ya Chinangali II – Mlebe- Mnase na Mgunga yenye urefu wa Km […]

Afya

Wataalamu wa Mipango wapigwa msasa, Maandalizi ya Bajeti 2019/20

Majid Abdulkarim
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia masuala ya Afya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Dk. Zainabu Chaula amewataka Makatibu Tawala Wasaidizi wa Mikoa Sehemu ya Mipango na Uratibu sambamba na Maafisa Mipango wote wa Halmashauri nchini kutumia taaluma zao katika kukuza uchumi wa nchi ili kuleta matokeo chanya kwa jamii.
Dk, Chaula ameyasema hayo wakati  wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Maandalizi ya Mipango na Bajeti katika Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa mwaka wa Fedha 2019/20 […]

Afya

JAFO: Ukamilishaji wa Ujenzi wa vituo vya afya 210 nchini ni wa kihistoria.

Angela Msimbira OR-TAMISEMI ARUSHA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amesema kuwa tayari serikali imeshakamilisha  ujenzi wa miundombinu  vituo vya afya 210 na  wakati huohuo vituo vingine  vipo katika hatua za ukamilishaji  na kuwa najumla ya vituo 350 vilivyojengwa  katika Serikali ya awamu ya Tano ya Mhe. […]