Habari za Wizara

Wadau wa afya watakiwa kufanya tathmini na ufuatiliaji

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Zainabu Chaula akikabidhi vyeti kwa washiriki Kongamano la Pili la Ufuatiliaji na Tathmini linalofanyika leo likishirikisha wadau mabalimbali waliwemo wanafunzi wa Chuo Kikuu Mzumbe na Watafiti lililofanyika katika Ukumbi wa Morena Jijini Dodoma.
 
Na. Angela Msimbira OR- TAMISEMI
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa […]

Habari za Wizara

NMB Yaikabidhi Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) Milioni 100

Wajumbe wa Kamati Tendaji ya Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), pamoja na wawakilishi kutoka benki ya NMB kanda ya kati, wakiwa katika kikao cha makabidhiano ya fedha kiasi cha shilingi milioni 100 kilichofanyika leo katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Jijini Dodoma kwa ajili ya kuwezesha Mkutano Mkuu wa jumuiya hiyo utakaofanyika […]

Habari za Wizara

TEHAMA kuongeza ufanisi kwa mtumishi wa afya ngazi ya zahanati

 
Baadhi ya wadau wa afya kutoka katika timu za usimamizi wa huduma za afya Mikoa na timu za usimamizi na uendeshaji wa huduma ya afya katika Halmashauri (CHMT) wakimsikiliza Afisa Tehama Bi. Sultana Seif Afisa TEHAMA kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ( hayupo pichani) akieleza umuhimu wa kuwa na takwimu sahihi kuanzia ngazi […]

Habari za mikoani

Sita Mbaroni kwa tuhuma za wizi wa fedha za Serikali Nyang’wale

Waziri wa Nchi Ofsis ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo akisisitiza jambo wakati akikagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyangw’ale, Mkoani Geita.
Na. Angela Msimbira OR-TAMISEMI
Watumishi sita pamoja na aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Nyang’wale wanashikiliwa na Jeshi la polisi Mkoani Geita baada kubainika kuchezea fedha za […]

Habari za Wizara

Jafo atoa mwezi mmoja kufanya uchambuzi wa ubadhilifu wa mapato Hanang

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo akiongea na viongozi Mkoa, Madiwani na wataalam kwenye kikao cha Baraza la Madiwani na wataalam wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang kilichofanyika leo, Mkoani Manyara.
 
Angela Msimbira  OR-TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa. Mhe. Selemani […]

Habari za Wizara

Jafo awapongeza Wadau wa Maendeleo ya Sekta ya Afya

Baadhi ya wadau wa Maendeleo ya Sekta ya afya wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo (hayupo Pichani) wakati akifunga mkutano wa wadau wa maendeleo katika sekta ya afya uliofanyika katika ukumbi wa Kilimani leo Jijini Dodoma
 
Na.Angela Msimbira OR-TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi  ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali […]

Habari za Wizara

MTAKA awapa somo Waganga Wakuu wa Mikoa,Wilaya.

 
Naibu Katibu Mkuu Afya, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Zainabu Chaula akisisitiza umuhimu wa kujenga mshikamano katika utendaji kazi kwenye Mkutano Mkuu wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya uliofanyika leo katika ukumbi wa Mikutano LAPF Jijini Dodoma.
Na. Angela Msimbira OR-TAMISEMI
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe Antony Mtaka amewataka Waganga Wakuu wa Mikoa […]

Habari za Wizara

Jafo ateta na Wakurugenzi wapya 41

Baadhi ya Wakurugenzi wapya wa Mamlaka za Serikali za Mitaa wakila kiapo cha uadilifu leo katika Ofisi za Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Jijini Dodoma
 
Angela Msimbira OR-TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amewaagiza Wakurugenzi wapya walioteuliwa hivi karibuni kusimamia nidhamu katika Halmashauri zao.
Ameyasema hayo wakati wa […]

Habari za Wizara

Jafo Awataka Wakuu Wapya wa Wilaya Kusoma Sheria Zinazowaongoza

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo akisisitiza jambo kwa Wakuu wa Wilaya wapya 27 walioteuliwa hivi karibuni katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Taifa ya ukaguzi, Jijini Dodoma leo.
Na. Angela Msimbira OR-TAMISEMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amewataka […]