Habari katika Picha

Boresheni Utendaji wenu Tufikie Uchumi wa Viwanda

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu Tixon Nzunda, amezungumza na watumishi wa halmashauri za Mji na Wilaya Tarime alipofanya ziara ya kikazi wilayani Tarime na kuwataka kuimarisha utendaji wao wa kazi ili kuboresha zaidi huduma za jamii Serikalini.Nzunda pia amezungumza nao kuhusu masuala mbalimbali ya kiutumishi ili kufikia malengo tarajiwa ya […]

Habari katika Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli awaongoza watanzania katika sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Jijini Dodoma

 
 

Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama wakati akipigiwa wimbo wa Taifa kabla ya kwenda kukagua gwaride la heshima lililoandaliwa na vikosi mbalimbali vya Majeshi ya Tanzania katika maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.Aprili 26,2018.
Continue Reading