Habari katika Picha

DC Gondwe Azindua Zoezi la Upigaji Chapa Mifugo, Ni Utekelezaji wa Agizo la Waziri Mkuu.

Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga Mh. Godwin Gondwe, akizindua rasmi zoezi la Upigaji chapa mifugo Wilayani humo.
Na Alda Phesto H/W Handeni.
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga, Godwin Gondwe amezindua Rasmi zoezi kupiga chapa Mifugo, ikiwa ni Utekelezaji wa Agizo la Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb)
Hii hapa ni habari katika Picha.

Habari katika Picha

Waziri Jafo “Sita Hamisha Mtumishi, Nitakutengeneza Uendane na Kasi Yetu”

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo (katikati) akiwa na Naibu Mawaziri OR-TAMISEMI Mhe. Josephat Sinkamba Kandege (kushoto) pamoja na Naibu Waziri Mhe. George Joseph Kakunda (kulia) mara baada ya kuwasili kwenye Ofisi za OR TAMISEMI mjini Dodoma na kufanya kikao na Watumishi.
 
Continue Reading