Habari za Kijamii

Ziara ya kwanza, Mwaka 2018, Halmashauri ya Arusha Dc


 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rasi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo mapema kesho Tar.02/02/2018 atafanya ziara ya kikazi katika Halmashauri ya Arusha Dc iliyopo Mkoani Arusha.
Akizungumzia Ziara hiyo Mhe. Jafo amesema ni ziara ya kawaida ya kikazi akiwa katika Halmashauri hiyo ataonana na Watumishi wa Halmashauri ili kuweza kuskiliza kero zao na pia atatembelea […]

Habari Kitaifa

Naibu Waziri Kakunda – Awataka Wahandisi kufanya tathmini ya miradi ya maji nchi nzima kila baada ya Mwaka.

Naibu Waziri OR TAMISEMI Mhe. Joseph G.Kakunda akitoa maelekezo kwa watendaji wa maji katika mradi wa maji wilayani Longido
Na Fred Kibano TAMISEMI
Serikali imewaagiza Wahandisi wa maji kuhakikisha wanasimamia miradi ya sekta ya maji nchini inayozingatia thamani ya shilingi na yenye kuleta tija kwa Watanzania.
Akiongea katika ziara yake mkoani Arusha Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, amesema kumekuwepo na ufujaji wa fedha za katika […]

Habari Kitaifa

Serikali – Neema ya Maji kwa Wananchi 438,931 wa Same, Mwanga na Korogwe.

Mhe. Kakunda amekagua Mradi wa maji ya Kisima kilichochimbwa kwa ufadhili wa Serikali ya Misri wilayani Same
Na Fredy Kibano – TAMISEMI
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. George Kakunda (Mb) ameendelea na ziara yake mkoani Kilimanjaro na kutembelea mradi Mkubwa wa maji uliopo Wilayani Same na kusema kukamilika kwa mradi huo kutanufaisha wananchi zaidi ya laki nne.
Kakunda amekagua Mradi mkubwa maji safi […]