Habari za Kiuchumi/Kilimo

Serikali Yakabidhi Mashine za Kutengeneza Vyeti vya Walipa Kodi

 
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga akimkabidhi Kamishna wa TRA Bw. Charles Kichere sehemu ya mashine 13 za  kutengeneza vyeti vya walipa kodi (Taxpayers Mobile Kits) zenye thamani ya shilingi milioni 167,553,376.00 zitakazotumiwa na Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania kutoa huduma kwenye vituo vya kutolea huduma za Biashara na Uwekezaji katika Halmashauri zote za Mikoa ya […]

Habari za Kiuchumi/Kilimo

Serikali Yatoa Wito Kwa Benki ya DCB Kuwainua Wajasiriamali

 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Selemani Jafo (katikati) akiwa na Godfrey Ndalahwa Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kibiashara ya DCB Tanzania na Bi. Rahma Ngassa Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano DCB Dodoma na kushoto ni Joseph Njile Meneja wa Tawi la Benki ya DCB Dodoma. Waziri Jafo ametoa wito kwa Benki hiyo kuwajengea uwezo wa kijasiriamali wateja […]

Habari za Kiuchumi/Kilimo

Makatibu Tawala Mikoa simamieni Matumizi na Manunuzi ya Umma katika Halmashauri

Na Fred Kibano
Serikali imewaagiza Makatibu Tawala wa Mikoa na kusema itaendelea kuimarisha hali ya ukusanyaji wa mapato na kusimamia matumizi sahihi ya fedha za Umma kwenye halmashauri nchini ili kuinua uchumi wa mamlaka husika na kuwaletea wananchi wake maendeleo.
Kauli hiyo ameitoa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga Jijini Dodoma wakati akifungua kikao kazi cha maboresho ya fedha katika halmashauri nchini ambapo amewataka Makatibu Tawala kusimamia ukusanyaji wa mapato ya halmashauri samabamba na matumizi ya fedha za Umma.
“tumewaita […]

Habari za Kiuchumi/Kilimo

Marufuku Halmashauri Kutumia Mapato yake kabla Hayajaingia Katika Mfumo – Mhandisi Nyamhanga

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga akiongea na watumishi wa halmashauri ya Wiaya na Tarime Mji wakati akihitimisha ziara yake wilayani Tarime leo. Kushoto kwake ni Katibu Tawala wa wilaya ya Tarime Bw. John Marwa na Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya Tarime Apoo Tindwa na kulia kwake niMkurugenzi wa Mji Tarime Bw. Elias Ntirulungwa
Na Fred Kibano
Serikali […]

Habari za Kiuchumi/Kilimo

Tumieni Kituo cha Biashara Kukuza Uchumi – Nzunda

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Tixon Nzunda akiangalia ukaushaji wa dagaa-kigoma katika mwalo wa Kibirizi Manispaa ya Kigoma huku Afisa Mifugo na Uvuvi wa Manispaa hiyo Bw.Aziz Daud akifafanua jambo, kulia mwenye tai ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma Rashid Mchanga
Na Fred Kibano
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – […]

Habari za Kiuchumi/Kilimo

Mpango Kazi Utainua Utendaji Katika Sekta ya Kilimo – Nzunda

 
Picha ya pamoja ya Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Viongozi wa Wizara ya Kilimo na baadhi ya Maafisa Ugani nchini kutoka katika Mikoa na Halmashauri baada ya kuahirishwa kwa kikao hicho Jijini Dodoma jana
 
Zulfa Mfinanga na Magdalena Stanley.
Mpango Kazi Utainua Utendaji Katika Sekta ya Kilimo – Nzunda
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI elimu, Tixon Nzunda, amesema […]

Habari za Kiuchumi/Kilimo

Maafisa Ugani Wachangia Kuinua Sera ya Viwanda 100 – Jafo

 
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya washiriki wa kikao baina yake na Maafisa Ugani kutoka Halmashauri zote nchini mara baada ya ufunguzi wa kikao hicho leo tarehe 12 Julai, 2018 Jijini Dodoma. Takribani maafisa Ugani 700 wanakutana kwa siku mbili Jijini Dodoma kwa lengo la […]