Habari za Wizara

Jafo Akabidhi Bil. 137, kwa Mikoa 8 huku akitoa Maelekezo Mazito

Waziri wa nchi OR-TAMISEMI, Mhe.Seleman Jafo, akizungumza wakati wa kikao cha Makatibu Tawala, Mameya na Wakurugenzi wa Halamashauri zilizo pata fedha za Miradi ya Kimkakati.
Na. Atley Kuni- OR-TAMISEMI
Mikoa minane kati ya 26 nchini imepokea jumla shilingi za kitanzania bilioni 137,377,756,698. kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati nchini huku mgao huo ukienda sambamba na maelekezo mazito juu ya matumizi ya fedha hizo […]

Habari za Wizara

Waziri Mkuu Majaliwa kufungua Mkutano wa Maafisa Ustawi wa Jamii

Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Ustawi wa Jamii Ofisi ya Rais TAMISEMI, Rashid Maftaha.
 
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajia kufungua mkutano wa siku tatu wa maafisa ustawi wa jamii mikoa 26 na halmashauri zote nchini wenye lengo la kujadili utendaji kazi, utoaji huduma za ustawi wa jamii na mifumo ya utendaji kazi.

Akizungumza na habarileo jijini hapa, Mkurugenzi Msaidizi wa […]

Habari za Wizara

Watumishi 13  Ulanga hatiani ubadhirifu wa Bil 2.9

                             Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI

OFISI ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (Tamisemi) imebaini matumizi mabaya ya fedha za serikali Sh. bilioni 2.98 katika halmashauri ya Ulanga mkoani Morogoro na kuagiza wakuu wa idara wote waliohusika wavuliwe nyadhifa zao huku watumishi wengine waondolewe majukumu […]

Habari za Wizara

Mawasiliano yarejeshwa kwa Wananchi wa Chinangali II na Mlebe

Nteghenjwa Hosseah, Chamwino.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo (kwanza kulia), Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Vumilia Nyamwaga(katikati), Meneja wa TARURA Wilaya ya Chamwino Nelson Maganga wakati wa ziara yake ya kukagua daraja la mlebe na barabara ya Chinangali II – Mlebe- Mnase na Mgunga yenye urefu wa Km […]

Habari za Wizara

Dkt. Chaula awapa somo wadau wa afua ya vipimo na tiba ya Malaria

Naibu Katibu Mkuu ,Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR –TAMISEMI), Dkt. Zainabu Chaula akizungumza katika Kikao cha Wadau wa Afua ya Vipimo na Tiba ya Malaria na Wataalamu wa Idaraya Afya OR-TAMISEMI leo Jijini Dodoma.
Na.Majid Abdulkarim
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) anayeshughulikia Afya Dkt. Zainabu Chaula amewataka Wadau […]

Habari za Wizara

Jafo apiga marufuku Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuwaswekwa ndani Madaktari

 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo akifunga mkutano wa hamsini wa taaluma wa Chama cha Madaktari Tanzania uliofanyika leo katika ukumbi wa St. Gasper, Jijini Dodoma
Na. Angela Msimbira OR-TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amewataka Wakuu wa Mikoa na […]

Habari za Wizara

Halmashauri zaagizwa kutenga bajeti kwa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi.

Waziri wa Nchi Ofisi YA Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mikoa Mhe. Selemani Jafo (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watoto wenye matatizo ya kichwa kikubwa na mgongo wazi kwenye maadhimisho ya kitaifa ya siku ya watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi duniani yaliyofanyika leo katika viwanja vya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma.
 
Na […]