Habari za Wizara

”Kidato cha Tano wapya hairuhusiwi kuhama”- Serikali

Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI, Mhe. Selemani Jafo (Picha na Maktaba ya OR-TAMISEMI)
Na.Atley Kuni-OR-TAMISEMI, Dodoma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe Selemani S. Jafo (Mb), amesema haita ruhusiwa kwa wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano mwaka 2019 katika shule mbali mbali nchini kuhama hadi muhula wa kwanza wa masomo utakapo kamilika huku zoezi […]

Habari za Wizara

Dkt. Gwajima akerwa na kasi ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Ilongero Singida

 Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia afya, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Dorothy Gwajima akisikiliza maelezo kutoka kwa viongozi wa Mkoa wa Singida kuhusu ujenzi wa Hospitali ya Wilaya Ilongero, Mkoani Singida.
Na. Angela Msimbira SINGIDA
Naibu Katibu Mkuu Afya kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Dorothy Gwajima amesikitishwa […]

Habari za Wizara

Ajira Mpya TEHAMA Wapigwa Msasa

Na. Nteghenjwa Hosseah-OR TAMISEMI, Dodoma
Watumishi wapya wapatao 70 wa kada ya TEHAMA walioajiriwa Mwezi Februari, 2019 na kupangiwa OR-TAMISEMI Makao Makuu, Sekretariet za Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa, Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) na Wakala wa Mabasi yaendayo Kasi (DART) wanaendelea kupatiwa mafunzo ya kuwajengea uwezo kuhusu mifumo ya TEHAMA inayosimamiwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI mjini Dodoma. Shabaha ikiwa ni kuwafanya kuijua mifumo iliyopo lakini pia kuihudumia mifumo hiyo.
Akizungumza wakati wa mafunzo Msimamizi wa mafunzo hayo […]

Habari za Wizara

Wauguzi wapongezwa, watakiwa kujipnaga kutoa huduma bora zaidi

Naibu Katibu Mkuu Afya, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt, Dorothy Gwajima akipokelewa na wauguzi wakati akiwasili katika Hospitali ya Wilaya ya Iramba Mkoani Singida leo katika Maadhimisho ya sherehe za wauguzi nchini zilizofanyika Kiwilaya katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, Mkoani Singida.
Na Angela Msimbira SINGIDA
Serikali imewapongeza wauguzi wote nchini na kuwataka kutoa huduma […]

Habari za Wizara

Serikali yahaidi ununuzi wa Ultra Sound kwenye vituo vya afya nchini.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Josephat Senkamba Kandege akijibu Maswali leo Bungeni Jijini Dodoma.
Na. Angela Msimbira BUNGE -DODOMA
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Josephat Senkamba Kandege amesema Serikali imejiwekea mikakati wa kuhakikisha vituo vyote vya afya vilivyojengwa nchini vinakuwa na wataalam, vifaa vya kutosha […]

Habari za Wizara

Serikali haitapandisha hadhi kituo cha afya cha Dongobeshi

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Josephat Senkamba Kandege akijibu Maswali leo Bungeni Jijini Dodoma.
Na. Angela Msimbira BUNGE-DODOMA
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Josephat Senkamba Kandege amesema Serikali haitakipandisha hadhi kituo cha afya cha Dongobeshi kwa kuwa tayari imeshaanza ujenzi wa Hospitali ya […]

Habari za Wizara

Serikali inaendelea kutoa ruzuku ya maendeleo kwenye Halmashauri

 
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mwita Waitara (Mb) akijibu maswali leo Bungeni Jijini Dodoma.
Na. Angela Msimbira BUNGE – DODOMA
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mwita Waitara (Mb) amesema Serikali iliweka kigezo cha upimaji wa Halmashauri ili kuziwezesha kupata […]