Mafunzo

OPRAS Ni njia Muhimu ya Kuleta Ufanisi wa Watumishi

Mkurugenzi wa Rasilimali watu kutoka Tume wa Utumishi wa Walimu Ndg Moses Chitanda akifungua mafunzo ya siku mbili kwa Maafisa Elimu wa Mkoa wa Manyara kuhusu Mfumo wa OPRAS yanayofanyika mkoani Dodoma
Na. Atley Kuni- OR TAMISEMI
Imeelezwa kuwa moja ya njia itakayowezesha taifa liweze kupiga hatua katika nyanja mbali mbali za maendeleo ni kwa taifa hilo kujiwekea mazingira ya kupima […]

Mafunzo

TAMISEMI, PS3 na TSC Kuboresha OPRAS ya Walimu kwa Matokeo

 
Na. Fred Kibano
Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Charles Mhina, amefungua mafunzo ya kuongeza ufanisi wa utekelezaji wa OPRAS kwa ajili ya walimu wanaofundisha darasani kwa wawezeshaji wa Kitaifa Jijini Dodoma na kuwataka washiriki kuleta matokeo chanya katika sekta ya Umma nchini.
Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt.Charles Mhina akiwa katika picha […]

Mafunzo

Kakunda Awataka Wakurugenzi na Wakuu wa Wilaya Wapya kuacha Mivutano

Na. Magdalena Dyauli na Fred Kibano
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI) anayeshughulikia ELIMU Joseph Kakunda amefungua rasmi mafunzo kwa Wakurugenzi wapya wa Halmashauri na Wakuu wapya wa Wilaya walioteuliwa na Mhe. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli hivi karibuni Jijini Dodoma leo.
Kakunda amewataka Viongozi hao kutambua kuwa wao ni tegemeo kubwa katika utekelezaji wa Sera za Serikali hivyo ni muhimu kujua wajibu wao, hasa kwa kuhimiza ushirikiano kwenye utekelezaji wa […]

Mafunzo

Maafisa TEHAMA Wanolewa Mfumo wa Epicor

Na. Fred Kibano
Maafisa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wanapatiwa mafunzo ya mfumo wa kielektroniki wa epicor ikiwa ni mwendelezo wa mafunzo hayo baada ya kutolewa kwa wahasibu, waweka hazina na maafisa manunuzi.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya epicor 10.2 wakifuatilia mada kwa makini kuhusu maboresho ya mfumo wa epicor, mafunzo hayo yahusiha washiriki kutoka mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani, […]

Mafunzo

PS3 yaombwa iende mikoa yote Tanzania Bara

Afisa TEHAMA wa OR TAMISEMI Mfaume Mnokote akiwasilisha mada ya matumizi ya dawati la dharura kwa washiriki wa mafunzo ya mfumo wa Epicor 10.2 jijini Mwanza
Atley Kuni na Glady Mkuchu – Mwanza
Washiriki wa mafunzo ya mfumo wa Epicor 10.2 kutoka mikoa ambayo haitekelezi Mradi wa Uimarishaji Mifumo ya Sekta za Umma (PS3), wameiomba Serikali ione namna itakavyoweza kukaa na […]

Mafunzo

Mfumo wa Epicor 10.2 Kudhibiti Upotevu wa Mapato ya Serikali

 
Wataalam wa fedha waliohudhuria mafunzo ya mfumo wa fedha ‘epicor 10.2 kutoka mikoa ya Lindi, Mtwara, Dar es Salaam, Ruvuma na Pwani wakiwa katika picha ya pamoja na wawezeshaji kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI na Mradi wa Uimarishaji Mifumo Umma (Public Sector Systems Strengthening – PS3) chini ya Shirika USAID.
Na. Fred Kibano
Mafunzo ya mfumo wa fedha wa kielektroniki wa […]

Mafunzo

FMO’s Wakumbushwa Utendaji wao

 
Dkt. Charles Mhina Mkurugenzi wa Idara ya Serikali za Mitaa wakati akifungua Semina ya Maafisa usimamizi wa fedha wa ngazi ya Mikoa (FMOs) katika Ukumbi wa OR TAMISEMI pembeni ni Mkurugenzi wa TEHAMA OR TAMISEMI Ndg. Erick Kitali.
Na Atley Kuni- TAMISEMI
Maafisa Usimamizi wa Fedha (Finance Management Officers – FMOs) kutoka Sekretarieti za Mikoa yote ya Tanzania Bara wamesisitizwa kuwa jicho la usimamizi wa […]

Habari za Kijamii

Tuzo za Tovuti Kutolewa kwa Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa.


Mkurugenzi wa TEHAMA, Ofisi ya Rais TAMISEMI Bw. Erick Kitali akifungua kikao cha tathmini ya Tovuti za Serikali za Mitaa kinachofanyika mjini Dodoma mapema hii leo.
Na. Nteghenjwa Hosseah-TAMISEMI
 Mkurugenzi wa Miundombinu ya TEHAMA toka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Erick kitali amesema Tuzo zitatolewa kwa Tovuti bora ya halmashauri ambazo wataalamu wake wamepewa mafunzo […]