Habari za mikoani

Geita Yang’ara Olimpiki Maalum Zanzibar.

 
Mkurugenzi-wa-Halmashauri-ya-Mji-Geita-Mhandisi-Modest-Apolinary-akimvika-medali-ya-dhahabu-mwanafunzi-Mathias-Donald-aliyeibuka-mshindi-wa-kwanza-kitaifa-katika-riadha
Na Trovina Kikoti H/Mji Geita.
Wanafunzi watano walioshiriki Mashindano yanayowashirikisha watu  wenye ulemavu wa akili yanayofahamika kama Olimpiki maalum( special Olympics) katika Mjini Zanzibar hivi karibuni wameibuka na ushindi ambapo wanafunzi watatu kutoka kwenye Shule tano zinazofundisha elimu maalum katika Halmashauri ya Mji Geita wamepata medali za dhahabu, shaba na fedha.
Mwanafunzi Mathias Donald kutoka Shule ya Msingi Mbugani amerejea na medali tatu ambapo aliibuka […]