Afya

Serikali yaajiri watumishi 6,180 wa kada ya afya katika halmashauri

Na Mwandishi wetu
Jumla ya waombaji 6,180 kati ya 14,647 wenye sifa za kuajiriwa kwenye kada mbalimbali za afya katika Mamlaka za Serikali za Mitaa wamefanikiwa kuajiriwa na serikali kufuatia kukamilika kwa mchakato wa ajira wa watumishi hao.
Kauli hiyo imetolewa jana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma.
Continue Reading

Habari Kitaifa

Mkurugenzi Nkasi Apumzishwa Kazi Kupisha uchunguzi – Waziri Jafo

1. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Seleman Jafo akitoa taarifa kwa waandishi wa Habari Mkoani Dodoma kuhusu kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi, Mkoani Rukwa.
Angela Msimbira- OR TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Seleman Jafo amekupumzisha kuendelea na majukumu na madaraka ya Mkurugenzi Mtendaji […]