Habari Kitaifa

Mkurugenzi Nkasi Apumzishwa Kazi Kupisha uchunguzi – Waziri Jafo

1. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Seleman Jafo akitoa taarifa kwa waandishi wa Habari Mkoani Dodoma kuhusu kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi, Mkoani Rukwa.
Angela Msimbira- OR TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Seleman Jafo amekupumzisha kuendelea na majukumu na madaraka ya Mkurugenzi Mtendaji […]

Habari za mikoani

KARANTINE YA HOMA NGURUWE – WILAYANI KILOSA

Kufuatia kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya nguruwe unaondelea wilayani Kilosa kupitia kifungu cha sheria namba 17 cha sheria ya magonjwa ya wanyama namba 17 ya mwaka 2003 na kanuni zake za mwaka 2007, wananchi wote mnakumbushwa kuwa wilaya ipo katika karantini ya ugonjwa wa homa kali ya nguruwe toka tarehe 22/11/2017 hadi hapo mwenendo wa ugonjwa utakapodhibitiwa na hali kuwa shwari.
“Katika kipindi cha karantini ni marufuku kufanya biashara yoyote ya nyama ya nguruwe ndani ya wilaya,marufuku […]