Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Mh. Rais Afanya Mabadiliko Madogo Baraza la Mawaziri


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri na kuteuwa wengine kushikilia Wizara ambazo Mawaziri wake waliondolewa na kuongeza Wizara Mbili kutoka 19 za hapo mwanzo hadi 21.
Mawaziri na Manaibu Mawaziri ni kama ifuatavyo.Kwa ufupi:
Wizara zimeongezeka kutoka 19 hadi 21, Mawaziri kutoka 19 hadi 21, Manaibu Waziri kutoka 16 hadi 21.
Rais Magufuli: Pia tumeongeza Mawaziri 2 na Manaibu […]