Video

TAMISEMI Yaendelea Kuboresha Utawala Bora Katika Mikoa na Halmashauri

Na. Fred Kibano
Dkt. Andrew Komba Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa Kisekta Ofisi ya Rais TAMISEMI, ameongoza wajumbe wa Warsha ya Mkakati wa UNICEF kusaidia Ugatuaji wa Madaraka na masuala ya Utawala Bora katika ngazi ya Serikali za Mitaa nchini kwa pamoja kati ya Wadau kutoka UNICEF, Idara ya Uratibu wa Kisekta Ofisi ya Rais TAMISEMI na Menejimenti ya Ofisi ya Rais TAMISEMI imefanyika katika makao makuu ya Ofisi ya Rais TAMISEMI mjini Dodoma.
Warsha hiyo ina lengo la kujua hali halisi […]

Video

Ondoeni Vifo vya akina mama na Watoto- Dkt.Chaula

Na. Fred Kibano
Naibu Katibu Mkuu (Afya) Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Zainab Chaula amewataka Wadau wa afya kufuata Sheria, Miongozo na Sera ili kuboresha utendaji katika Sekta ya afya nchini.
Dkt. Chaula ameyasema hayo wakati akiendesha kikao kati ya Ofisi ya Rais TAMISEMI na Wadau wa Afya waliohusisha asasi za JHPIEGO, Management and Development for Health (MDH), Health Jonson Foundation MRI Mikoa ya Nyanda za juu kusini na Water Reed Program pia mikoa ya nyanda za juu kusini.
Dkt, Chaula amesema lengo […]

Video

Prof. Ndalichako Awaweka Mguu sawa Maafisa Elimu

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akitoa hotuba ya kufunga kikao kazi cha Makatibu Tawala Wasaidizi wa Elimu na Mipango ngazi ya Mikoa, Wakaguzi wa ndani wa Hesabu, na Maafisa Elimu Wilaya kutoka Halmashauri zote 186 Tanzania Bara mjini Dodoma. Ndalichako amewaagiza Washiriki hao kutumia fedha za Serikali kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu za […]

Habari Kitaifa

Waziri Jafo, ADD Wawakumbuka Watoto wenye Ulemavu

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Mhe.Selemani Jafo akizungumza katika shughuli ya kupokea vifaa vya shule kwa ajili ya watoto wenye ulemavu.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Mhe.Selemani Jafo ameagiza mikoa yote kukamilisha uundwaji wa kamati za walemavu kwa ngazi za mikoa, wilaya, […]

Video

RC Mtaka, Ataka Bil.44   Sekta ya Afya Mkoani humo kutoa matokeo Chanya

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe.Anthony Mtaka akizungumza na viongozi, watendaji katika Sekta ya Afya pamoja na wadau mbalimbali wa Afya mkoani humo katika kikao maalum kilichofanyika kwa lengo la kutathmini mchango wa wadau wa Afya(mashirika mbalimbali yanayofanya kazi na mkoa huo) ambacho kilichofanyika Mjini Bariadi.
Na Stella Kalinga, Simiyu
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amewataka wadau na […]

Habari Kitaifa

Chamwino Waagizwa Kukamilisha Jengo la Halmashauri

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi), Selemani Jafo akitoa maagizo kwenye ukaguzi wa ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Chamwino mkoani Dodoma.
Na Mwandishi wetu TAMISEMI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo ameiagiza Wakala wa Majengo (TBA) na Suma JKT kuangalia njia bora ya kukamilisha ujenzi wa jengo […]