Video

Mhe.Masenza awataka walimu wa Mkoa wa Iringa kufuata Maagizo ya Serikali


Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe.Amina Masenza
Afisa Habari, Manispaa ya Iringa
Walimu wakuu wa shule za Msingi na Sekondari kutoka wilaya za Mkoa wa Iringa ambazo ni Manispaa, Iringa Vijijini na Kilolo wametakiwa kutochezea maagizo yanayotolewa na Serikali.
Kauli hiyo imetolewa leo na Mkuu wa mkoa wa Iringa Bi Amina Masenza alipokutana na walimu hao wakuu kufuatia kusimamia agizo lililotolewa na  Rais wa Jamuhuri […]

Habari za mikoani

Mhe. Mongella asisitiza ukusanyaji wa Mapato kwa kutumia Mfumo wa kielektoniki

Na Remija Salvatory
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella ameongoza kikao cha Ushauri cha Mkoa kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na kujumuisha wajumbe mbalimbali wa kikao hicho ikiwa ni pamoja na Mhe.Waziri wa Kilimo Mifugo  na Uvuvi Mhe. Dkt.Charles, Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo na Makazi Mhe Dkt Angeline Mabula, Waheshimiwa Wabunge,Wakuu wa Wilaya,wakurugenzi,Meya wenyeviti na baadhi ya walikwa kutoka Taasisi mbalimbali.
Mhe. Mongella pamoja na kutoa Maagizo mbalimbali kwa watendaji kuhusiana na […]

Habari za mikoani

DC Kilosa : Baraza ndio Chachu ya Maendeleo.

Mkuu wa Wilaya ya kiosa Adam Mgoi, moja ziara Wilayani humu akiangalia shughuli zinazofanywa na wahitimu wa VETA. (Picha na Maktaba ya OR TAMISEMI)
Na Gladys Gabriel H/ W Kilosa.
Baraza la biashara limetajwa kama chachu ya ukuaji wa ujasiriamali na ukuwaji wa uwekezaji katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa baraza hilo Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Adam Idd Mgoi amesema […]

Video

Viongozi Tume ya Utumishi wa Umma wazungumza na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma Mkoani Lindi.

Mmoja wa watendaji wa Tume ya Utumishi wa Umma akizungumza na watendaji wakuu katika Mkoa wa Lindi
Na Elibariki Mafole RS Lindi
Viongozi wa Tume ya Utumishi wa Umma wamefanya ziara Mkoani Lindi kwa lengo la kukutana na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma na watumishi wa umma ili kuwaelezea shughuli mbalimbali zinazofanywa na Tume ikiwa ni pamoja na kuwaelimisha kuhusu sheria, kanuni na taratibu […]

Habari za mikoani

Uwanja wa Ndege Chato Wafikia asilimia 63, Mkuu wa Mkoa mpya Aridhishwa na Hali ya Ujenzi.


Mhandisi Robert Gabriel Lughumbi Mkuu wa Mkoa wa Geita akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Mkoa na Wilaya ya Chato baada ya kuwasili Wilayani Chato.Wakwanza kulia ni Mheshimiwa Medard Kalemani Waziri wa Nishati
Na. Magessa Jumapili RS Geita.
Uwanja wa Ndege wa kisasa uliopo Chato Mkoani Geita wenye Sehemu ya kukimbilia (Running way) Km.3 umefikia asilimia 63 huku maendeleo hayo yakitoa matumaini kwa wananchi wa […]