Mhe. Selema Jafo (Mb) Waziri wa Nchi TAMISEMI
1. Bwana Masawe amejenga kutuo chake cha afya. Ameajiri daktari 2, wauguzi 6, wahudumu wa afya 4. Anatumia pia madaktari wa part time 2 ambao anawalipa kutokana na kazi wanazozifanya. “KUWALIPA MISHAHARA WATUMISHI HAWA ANATUMIA PESA ZAKE ZA BIASHARA HIYO”
2. Bwana Masawe ananunua madawa kila mwezi katika kituo chake cha afya kwaajili ya wagonjwa. […]