GoTHoMIS Toleo la Tatu Darasani.

Dafina Lyimo mmoja ya Wakufunzi wa GoTHoMIS, akijaribu kuweka Mambo Sawa Wakati wa Mafunzo ya Mfumo huo Toleo la Tatu huko Mkoani Iringa.
Wakurufunzi wakiwa katika darasa Wakiendelea na Mafunzo ya GoTHOMiS Mkoani Iringa.
Mkufunzi Nassoro Salum kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI, akifundisha jinsi Mfumo wa GoTHoMiS Utakavyo kuwa unafanya kazi katika Idara ya CTC Hospitalini na kwenye Vituo vya Afya.
Mmoja ya Maafisa TEHAMA Peter Magoiga kutoka Sekretarieti ya Mkoa wa Geita alipokutwa na Kamera ya TAMISEMI wakati wa Mafunzo hayo ya GoTHoMiS.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *