Elimu

Halmashauri Zijiandae Kukabiliana Na Ugonjwa wa Pumu

Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI

 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo akiongoza matembezi ya pamoja katika kuadhimisha siku ya Pumu Duniani iliyofanyika Jijini Dodoma

 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo akizungumza wakati wa maadhimsho ya siku ya Pumu Duniani iliyofanyika katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma

Wanafunzi wa baadhi ya Shule Dodoma wakimskiliza mgeni rasmi wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya Pumu Duniani iliyofanyika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma

Mwenyekiti wa Chama cha Magonjwa ya Mfumo wa Hewa (TARD) ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Magonjwa Yasiyoambukuzia(Tancida), Dk Digina Riwa akitoa taarifa ya hali ya ugonjwa kwa pumu Nchini wakati wa maadhimisho ya siku ya Pumu Duniani iliyofanyika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo akimvisha Medali mshindi wa mashindano ya Uchoraji wa viashairia vya ugonjwa wa Pumu kwa wanafunzi wa Shule za Msingi wakati wa maadhimsho ya siku ya Pumu Duniani

 

Naibu Katibu Mkuu(E) Tixon Nzunda akihitimisha maadhimisho ya ya Pumu Duniani iliyofanyika katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma