Flier

Jengo Halmashauri ya Gairo Lafikia asilimia 70, Kurahisisha Shughuli za Serikali kwa Wananchi

Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Seleman Jafo, alipokuwa akiweka jiwe la Msingi katika Jengo la Halmashauri ya Gairo, Mkoani Morogoro ambalo limefikia asilimia sabini ya Ujenzi wake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *