Habari katika Picha

Mafunzo ya Mfumo wa Epicor 10.2 Mwanza

Wawezeshaji Emelda Malima na Stanslaus Msenga kutoka OR TAMISEMI, wakijadiliana wakati wa mafunzo ya Epicor 10.2 jijini Mwanza
Washiki wa mafunzo ya Epicor 10.2 yanayo jumuisha Halmashauri za Mikoa ya Tabora na Geita jijini Mwanza.
Bw. Zablon Nshokigwa, Mweka Hazina kutoka Halmashuri ya Urambo mkoani Tabora, akiwa anapitia muongozo wa mfumo wa Epicor 10.2
Shani Mangesho na Hamisi Mjanja wakati wa mafunzo ya Epicor 10.2 mkoani Mwanza
Mhasibu mwezeshaji Melkzedeck Kimaro kutoka OR TAMISEMI akiendelea kutoa ufafanuzi wa mafunzo ya Epicor 10.2 jijini Mwanza
Wataalam kutoka PS3, kama walivyokutwa na Kamera yetu wakati wa mafunzo ya Epicor 10.2 yanayoendelea mkoani Mwanza kutoka kushoto ni Gladys Mkuchu, Giovanni Di Piazza na Joyce Mfinanga.
Redempta Joseph- Mhasibu wa Halmashauri ya Mji wa Nzega na Hillary Maganga, Mhasibu wa Halamshauri ya Sikonge wakiwa katika mafunzo ya mfumo wa Epicor 10.2 jijini Mwanza

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *