Habari katika Picha

Waziri Jafo : Mgeni Rasmi kwenye Mahali ya Tisa ya Chuo cha Serikali za Mitaa-Dodoma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe.Selemani Jafo(kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chuo Prof.Suleiman Ngware wakiendelea kwee Mahafali ya Tisa ya Chuo cha Serikali za Mitaa -Hombolo

Brass Bend ikiongoza maandamano ya Kitaaluma wakati wa maharani ya Tisa ya Chuo cha Serikali za Mitaa -Hombolo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe.Selemani Jafo(Mwenye Joho Jekundu) akishiriki kwenye Maandamo ya Kitaaluma wakati wa Mahafali ya Tisa ya Chuo cha Serikali za Mitaa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe.Selemani Jafo(Mwenye Joho Jekundu) akishiriki kwenye Maandamo ya Kitaaluma wakati wa Mahafali ya Tisa ya Chuo cha Serikali za Mitaa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe.Selemani Jafo(Mwenye Joho Jekundu) pamoja na Viongozi wa Chuo wakiwa kwenye Mahafali  ya Tisa ya Chuo cha Serikali za Mitaa ambapo Waziri Jafo ndiye aliyekuwa Mgeni Rasmi.

Wanafunzi wa kada mbalimbali waliokuwa wanahitimu masomo yao katika Chuo cha Serikali za Mitaa-Hombolo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe.Selemani Jafo akitoa hutuma yake wakati alipokuwa Mgeni Rasmi kaaika Mahafali ya Tisa ya Chuo cha Serikali za Mitaa-Hombolo

Mkuu wa Chuo cha Serikali za Mitaa -Hombolo Dkt. Mpamila Madale akisoma Taarifa ya Chuo Mbele ya Mgeni Rasmi Mhe.Selemani Jafo wakati wa Mahafali ya Tisa ya Chuo hicho

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais -TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo (Mwenye Joho Jekundu) akiwa katika Picha ya Pamoja na Uongozi wa Chuo pamoja na wanafunzi wa Kada ya Astashahada ya wali ya Utunzaji wa Kumbukumbu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *