Elimu

Majina ya Kidato cha Kwanza 2018 Mikoa Tofauti na Wilaya zake.

MIKOA HII
1. Mkoa wa Mwanza.
http://www.mwanza.go.tz/announcement/wanafunzi-waliochaguliwa-kujiunga-na-shule-za-sekondari-za-bweni
2. Mkoa wa Kagera
http://www.kagera.go.tz/announcement/matokeo-ya-uchaguzi-wa-wanafunzi-waliochaguliwa-kujiunga-na-kidato-cha-kwanza-2018-shule-za-sekondari-za-serikali-mkoani-kagera
3. Mkoa wa Geita
http://www.geita.go.tz/announcement/taarifa-ya-matokeo-ya-uchaguzi-wa-wanafunzi-watakaojiunga-kidato-cha-kwanza-mwaka-2018-mkoa-wa-geita
4. Mkoa wa Simiyu
http://www.simiyu.go.tz/announcement/waliochaguliwa-kujiunga-na-kidato-cha-kwanza-mkoani-simiyu2018
5. Mkoa wa Mbeya
http://www.mbeya.go.tz/announcement/majina-ya-wanafunzi-waliochaguliwa-kujiunga-kidato-cha-kwanza-mwaka-2018-mkoa-wa-mbeya
6. Mkoa wa Lindi
http://www.lindi.go.tz/announcement/matokeo-ya-kumaliza-elimu-ya-msingi-mwaka-2017-na-orodha-ya-wanafunzi-waliochaguliwa-kujiunga-kidato-cha-kwanza-mwaka-2018-mkoa-wa-lindi
7. Mkoa wa Dar Es Salaam.
http://www.dsm.go.tz/announcement/matokeo-ya-uchaguzi-wa-wanafunzi-waliojiunga-na-kidato-cha-kwanza-2018-shule-za-sekondari-za-serikali
8. Mkoa wa Singida.
http://www.singida.go.tz/announcement/wanafunzi-waliochaguliwa-kujiunga-na-kidato-cha-kwanza-2018-mkoa-wa-singida
9. Mkowa wa Arusha
http://www.arusha.go.tz/announcement/waliochaguliwa-kujiunga-na-kidato-cha-kwanza-2018

10. Mkoa wa Kigoma

http://www.kigoma.go.tz/announcement/waliochaguliwa-kujiunga-kidato-cha-kwanza-2018-mkoa-wa-kigoma

11. Mtwara

http://www.mtwara.go.tz/announcement/matokeo-ya-darasa-la-saba-2017

12. Morogoro.

http://www.morogoro.go.tz/advertisement/matokea-ya-wanafunzi-kujiunga-kidato-cha-kwanza

13. Mkoa wa Mara

http://www.mara.go.tz/announcement/waliochaguliwa-kujiunga-kidato-cha-kwanza-januari-2018

14. Mkoa wa Manyara

http://www.manyara.go.tz/announcement/matokeo-darasa-la-saba-2017-mkoa-wa-manyara

15. Mkoa wa Iringa

http://www.iringa.go.tz/announcement/orodha-ya-wanafunzi-waliochaguliwa-kujiunga-na-kidato-cha-kwanza-mwaka-2018

16. Mkoa waPwani

http://www.pwani.go.tz/announcement/wanafaunzi-waliochaguliwa-kujiunga-na-kidato-cha-kwanza-mwaka-2018

17. Mkoa wa Shinyanga

http://www.shinyanga.go.tz/announcement/waliochaguliwa-kujiunga-kidato-cha-kwanza-2018-mkoa-wa-shinyanga

18. Mkoa wa Kilimanjaro.

http://www.kilimanjaro.go.tz/announcement/wanafunzi-waliochaguliwa-kujianga-kidato-cha-kwanza-mkoa-wa-kilimanjaro-waulana

http://www.kilimanjaro.go.tz/announcement/wanafunzi-waliochaguliwa-kujianga-kidato-cha-kwanza-mkoa-wa-kilimanjaro-2018-wasichana

19. Mkoa wa Tabora

http://www.tabora.go.tz/announcement/wanafunzi-wa-kidato-cha-kwanza-2018-waliopangiwa-shule-halmashauri-ya-tabora-manispaa

 

 • Evodius Ulirk

  mikoa mingine vipi?

  • Mathias Richard

   KILIMANJARO, ARUSHA, MANYARA, TANGA, na mingine mingi haijawekwa.

   • Tamisemi Blog

    Mathias pole sana Ndugu, tunaomba radhi kwa hilo tunajitahidi kuyaweka na sasa tumeshaweka ya Mkoa wa Arusha

  • Tamisemi Blog

   Asante Evodius kwakufatilia Blog ya Wananchi ya OR TAMISEMI wewe pamoja na Watembeleaji wengine, tunaendelea na kuweka haya Matokeo kadri tunavyo yapokea.
   Tuwiye Radhi ila tayari Tumepandisha ya Mkoa wa Arusha

 • Lawi mponzi

  mbona hakuna mikoa mingine jamani hamuoni kua mnatupausumbufu mkubwa na kutusababishia kero sisi wananchiwa kawaida na nini maana ya kua na mfumo wa kompyuta kama mnashindwa kuiunganisha mikoa yote na wilaya zake

  • Patrick Ndaki

   Na hakuna wa kujibu hahahaaa!

   • Tamisemi Blog

    Asante Ndaki kwakufatilia Blog ya Wananchi ya OR TAMISEMI wewe pamoja na Watembeleaji wengine, aidha tunaendelea kuboresha. tayari tumepandisha Mkoa wa Arusha na kadri tunavyo yapata tutaweka yote.

    Kunradhi sana.

  • Tamisemi Blog

   Asante Lawi kwakufatilia Blog ya Wananchi ya OR TAMISEMI wewe pamoja na Watembeleaji wengine, tunaendele kufanya maboresho kadri inavyo wezekana. Tumeongeza matokeo ya Mkoa wa Arusha na tunakuahidi kukupa Matokeo ya Mikoa mingine kadri iwezekanavyo.

   Haja ya Mja Hunena Muungwana ni Vitendo. Tuwie Radhi sana.
   OR TAMISEMI YAWANANCHI

 • Joseph Kenny

  Mwaka unaisha leo tarehe 28/12/2017 kwanini hamtoi matokeo ya mikoa mingine ili wazazi tujipange?
  Tafadhalini sana kama wizara wekeni mkoa wa Dodoma kwanza kama mikoa mingine imeshindikana.

  Ahsante kama mtanisaidia kwa hilo.