Habari katika Picha

Matukio katika Picha wakati wa kupitisha Bajeti ya OR-TAMISEMI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo akijibu hoja za Wabunge wakati wa kuhitimisha Bajeti ya OR- TAMISEMI.

 

Naibu Waziri –TAMISEMI Mhe.Josephat Sinkamba Kandege akijibu hoja wakati wa kuhitimisha Bajeti ya OR-TAMISEMI.

 

Naibu Waziri –TAMISEMI Mhe.Joseph George Kakunda akijibu hoja wakati wa kuhitimisha Bajeti ya OR-TAMISEMI

Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Eng Mussa Iyombe(Pili kushoto) akiwa na baadhi ya Wakurugenzi wa Wizara wakifuatilia majadiliano ya Bajeti wakati wa kuhitimisha Bajeti ya OR-TAMISEMI.

Mkurugenzi wa Sera na Mipango OR-TAMISEMI John Cheyo(kushoto) akifuatiwa na Mkurugenzi wa Udhibiti wa huduma za TEHAMA Michael Moshiro wakati wa kuhitimisha Bajeti ya OR-TAMISEMI.

Baadhi ya Wakurugenzi wa  OR-TAMISEMI wakifuatilia mjadala wa kuhitimisha Bajeti ya TAMISEMI.

Baadhi ya Wakurugenzi wa   OR-TAMISEMI wakifuatilia mjadala wa kuhitimisha Bajeti ya TAMISEMI.

Naibu Waziri Mhe. George Kakunda(kushoto) akiwa na mkewe Mrs Kakunda (kwanza kushoto) katika picha ya pamoja na Naibu Waziri Mhe. Josephat Kandege(Pili Kulia) akiwa na Mkewe Mrs Kandege.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *