Habari katika Picha

OR TAMISEMI na Nane Nane 2018 Simiyu

Bwana Innocent Mrema akiwa anatoa Elimu kwa wananchi kuhusu mifumo mbali mbali inayosimamiwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI, kwenye Maonesho ya Nane NaneĀ  mkoani Simiyu 2018
Maonesho ya Nane Nane 2018 wananchi wakiwa katika Banda la Ofisi ya Rais TAMISEMI wakipata elimu juu ya huduma mbali mbali za Ofisi hiyo
Elimu kwa wananchi ikiwa inaendelea kwa wananchi waliotembelea banda la Ofisi ya Rais TAMISEMI ni katika maonesho ya Nane Nane 2018 mkoani Simiyu
Ndugu Coster Massawe Afisa Mtakwimu, kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI akitoa elimu ya Mfumo wa taarifa za shule (School Information Systerm), wakati wa maonesho ya Nane Nane 2018, mkoani Simiyu
Mwananchi akitaka uafafanuzi wa juu wa mfumo wa taarifa za shule (SIS), kutoka kwa Coster Massawe wakati wa maonesho ya Nane Nane yanayo endelea mkoani Simiyu.
Bwana Giovanni Di Piazza kutoka mradi wa uimarishaji wa mifumo ya Sekta za Umma PS3 ambao ni wadau wa maendeleo katika uimarishaji wa mifumo akitoa elimu kwa mwananchi wakati wa maonesho ya Nane Nane 2018 mkoani Simiyu (Picha na Atley Kuni wa OR TAMISEMI)
Bwana Robert Kwikolela, Mkurugenzi Msaidizi kutuoka Idara ya Tume ya Utumishi wa Walimu OR TAMISEMI, akitoa ufafanuzi wa mambo wakati wa maonesho ya Nane Nane 2018 mkoani Simiyu.

Banda la OR TAMISEMI na Muonekano wake katika Maonesho ya Nane Nane mkoani Simiyu
Dkt. Julius Makundi wa OR TAMISEMI, akitoa ufafanuzi wa mambo wakati wa maonesho ya Nane Nane 2018 mkoani Simiyu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *