Afya

TARURA Taasisi ya Kwanza Kutekeleza  Kampeni ya Upimaji wa VVU

Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo  ya kujikinga na Vvu/ Ukimwi kwa  wafanyakazi wa TARURA Makao Makuu.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo akiongoza zoezi la upimaji wa VVU wakati wa ufunguzi wa mafunzo  ya kujikinga na Vvu/ Ukimwi kwa  wafanyakazi wa TARURA Makao Makuu.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo(kulia) akizungumza na wafanyakzi wa TARURA Makao Makuu(hawapo pichani) baada ya kuzindua zoezi la upimaji wa VVU, anayefuata ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa TARURA Eng.Abdul Digaga na Mkurugenzi wa huduma na Uendeshaji Dr. Noel Komba.

Katika picha ya pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo(katikati) akiwa na Menejiment ya TARURA.