Habari katika Picha

Tukio la Uwekaji Jiwe la Msingi Jengo la Taifa la Takwimu Mjini Dodoma katika Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuli akiwa na Mwakili wa Benki ya Dunia Bibi Bella Bird, wakiweka rasmi Jiwe la Msingi tarehe 20 Desemba, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Mhe. Bella Bird wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma.

Mh. Rais akipeana Mikono na Waziri wa Fedha na Mipango Mh. Filip Mpango wakati wa Hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Mhe. Bella Bird wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea kutoka kwa Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango ramani yab Tanzania yenye kuonesha takwimu ya hali ya maambukizi ya VVU kimkoa wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma (Picha zote na Ikulu)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *