Habari katika Picha

Waziri Jafo ziarani Manyoni Habari katika Picha

Waziri wa Nchi OR TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo, akihutubia wananchi katika eneo la Nkonko wilayani Manyoni mkoani Singida , wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli za miundombinu ya Afya, Kituo hicho kimepelekewa Mil. 400 kwa ajili ya ukarabati wa kituo.
Mbunge wa Manyoni Mashariki Daniel Mtuka, alipokuwa akimkaribisha Waziri mara baada ya kuwasili katika eneo la Kintinku wakati wa ziara hiyo
Mhe. Waziri akiwa na Dkt. Charles Maziku wakati wa ziara hiyo pichani akimuonesha maeneo mbali mbali ya kituo cha Kintinku yaliyo karabatiwa
Mhe. Waziri alipo ingia kujiuonea chumba cha kuhifadhia maiti katika kituo cha afya Kintinku
Dkt. Charles Maziku akiwa katika chumba cha upasuaji kwenye kituo cha Afya Kintinku akitoa maelezo mbele ya Mhe. waziri wakati wa ziara
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Viktoria Ludovick, akiwa ameambatana na Mhe. Waziri akimuonesha maeneo mbali mbali katika kituo cha Afya Kintinku hapo wakiwa wanatoka katika Wodi ya Mama na Mtoto
Wananchi katika eneo la Kintinku wakiwa wamekaa kwa utulivu huku wakimsikiliza Mhe. Waziri hayupo pichani
Ziara ikiendelea Mhe. Waziri akiwa na Mwenyeji wake Mbunge wa Jimbo la Manyoni Mashariki
Waziri akihutubia katika eneo la Kintinku
Sehemu ya Ukarabati katika Kituo cha Afya Kintinku kilichopokea Mil. 500 cha mkoani Singida
Sehemu ya Ukarabati katika Kituo cha Afya Kintinku kilichopokea Mil. 500 cha mkoani Singida
Wananchi wakiwa wanamsikiliza Mhe. Waziri kwa umakini wakati wa ziara hiyo
Wananchi wakiwa wanamsikiliza Mhe. Waziri kwa umakini wakati wa ziara hiyo
Mhe. Waziri akiwa analakiwa na mmoja ya Viongozi wa Dini waliofika kumpkea wakati wa ziara hiyo hapo ilikuwa katika kituo cha Afya Nkonko
Kusaini kitabu cha Wageni hapa ni jambo la Busara ili kuweka kumbu kumbu sahihi
Hotuba inaendelea (Picha zote na Atley Kuni wa OR TAMISEMI)
Mhe. Daniel Edward Mtuka Mbunge wa Manyoni Masharikiri akitoa salam za Jimbo wakati wa Ziara ya Mhe. Waziri.
Mwakilishi wa katibu Tawala Mkoa wa Singida, Kichinda Buhacha, akitoa salam wakati wa ziara hiyo
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Miraji Mtaturu ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Manyoni, akitoa salam za Mkoa kwaniaba ya Mkuu wa Mkoa wakati wa ziara hiyo
Mhe. Moses Matonya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Manyoni, akitoa salam za Halmashauri yake wakati wa Ziara hiyo
Mhe. Waziri akiaga tayari kurejea kituoni kwake Dodoma kwa majukumu mengine ya kitaifa pichani akiwa na baadhi ya Viongozi wa Chama na Serikali
Mhe. Waziri akiaga tayari kurejea kituoni kwake Dodoma kwa majukumu mengine ya kitaifa pichani akiwa na baadhi ya Viongozi wa Chama na Serikali

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *